Amesikika Waziri Ummy akidai wadau wanataka bima ya afya kuwa lazima.
Amekwenda mbali kuonesha wastani wa mapato ya chini ya mtanzania kuwa 137,000/- kwa mwezi. Ingependeza tukajua wastani wa mapato kwa mwezi kwake yeye kama waziri ni kiasi gani.
Wadau wataka ulazima bima ya afya
Kwanini serikali isiwekeze kwenye bima hizi na ikaboresha huduma za afya kuwavutia watu kujiunga wenyewe na bima hizo?
Wenzetu nyie mnaojiita wadau siyo kuwa hata bima hizi huwa tunawalipia sisi? Siyo kuwa nyinyi mmejiwekea hadi vipengele vya kutibiwa kwao mabeberu?
Kwani yule aliye hofu nchi kuuzwa siyo tulimlipia mabilioni kwa kucheki afya yake tu nje ya nchi, yeye na wasaidizi wake? Kwani ninyi mnaojiita wadau mlilipa kiasi gani kwa ajili ya mwenzenu huyo?
Wacheni kutuhadaa huku mkituaandaa kisaikolojia kutupiga kwa mara nyingine tena.
Kwani zile pesa kwenye bajeti ya wizara ya afya huwa zinatumika wapi kama dawa, kumwona daktari, kulazwa, mortuary na mazaga zaga yote huwa walala hoi sisi tunayalipia 100% na faida juu?
Kwani nyie huduma ipi huwa mnailipia mkiwa na tiketi zenu kama walamba asali?
Kama vile haitoshi sasa mnataka kuvuna tena msipo panda.
----------
Serikali haipo kwa maslahi yetu bali kufanikisha upigaji wao