Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 Sep 6, 2026 #1 Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu Your browser is not able to display this video.
Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu Your browser is not able to display this video.
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,904 Reaction score 4,667 Sep 6, 2026 #2 Bima ya ya afya ina malengo mazuri. Lakini kwa muundo uliopo, kuna dhulma ndani yake.