Waziri Fadhili
New Member
- May 22, 2024
- 1
- 0
Ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua adha wanayopata watu wa kipato cha chini pale wanapougua magonjwa mbalimbali.
Serekali na Wizara ya Afya waje na sera ya kumpatia kila mtanzania bima ya Afya ili kuondoa adha hii na hii kupiga tadhimini na kujua namna gani fedha zitapatika ili kufanikisha jambo hili.
Kwa sasa kila Mtanzania hakuna asiyemiliki simu, wanaweza kuingiza tozo kwenye vocha ukinunua kwa mwezi unakatwa kiasi fulani na kuangalia vyanzo vingine ili lengo liweze kitimia.
Kwa hili hamna Mtanzania yeyote anaweza kulalamika kwa kweli.

Upvote
0