Kuna asilimia kubwa ya wazee ambao hawana vyanzo vya pesa wala uwezo wa kujigharamia matibabu, na Hawana msaada kabisa Bima ya kwa wazee izingatiwe.
Serikali ihakikishe hawa wazee wasio na uwezo wanapata matibabu vema, na sio kauli vivuli kwasababu wanahitaj sana hili.
Tuwape upendo wazee wetu,