Bima ya Afya, mnachokifanya mnajua madhara yake?

Bima ya Afya, mnachokifanya mnajua madhara yake?

Hatimaye wahakiki wa Bima ya Afya wamewasili Ngara.
Uhakiki unaendelea.
Naupongeza uongozi wa mfuko.
Naamini utaendeleza utaratibu huu wa kusogea wastaafu waliko.
 
Back
Top Bottom