nusu kaputi
Member
- Feb 1, 2014
- 54
- 122
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela
Hospital zote mpaka Sasa zina Miezi 7 hazijalipwa Hela zinazodai Kwa wanachama w zinazowahudumia , na zimefikia kukoswa vifaa vya kumuhumia Mgonjwa Kwa sababu hazina pesa.
Huku serikali imekaa Kimya na wizara ya afya