Bima ya afya NHIF yashindwa kulipa miezi 7 hospitali zinazohudumia, wananchi wateseka, serikali iko kimya

Bima ya afya NHIF yashindwa kulipa miezi 7 hospitali zinazohudumia, wananchi wateseka, serikali iko kimya

Acha ubishi kama haupo kwenye iyo sekta usipende kubisha kila kitu
Mimi nimo ndani ya sekta, siyo naongea kufurahisha, kama hospitali yako haijalipwa ujue una matatizo yako, sema ukweli? Mtu hajakulipa miezi 7 si amekiuka mkataba? Au hujielewi pia.
 
Ongea specific issue, mbona una generalize vitu? Issue ni nini? Ulikosa huduma? Ulikosa dawa? Uliambiwa hospitali haitumii Bima? Uliambiwa uongeze pesa?

Otherwise it is unfounded claims.
 
Back
Top Bottom