nusu kaputi
Member
- Feb 1, 2014
- 54
- 122
Hili suala la bima ni gumu sana kutekeleza Tanzania kwa sababu ya corruption na uaminifu. Ni mara nyingi unakuta mtu anachukuwa bima ya mtu mwingine anaenda kutibiwa nayo au hizo hospital nazo zinakuwa na makandokando yakufanya zipate fedha zaidi.Miazi saba ni mingi nyingi zingekua zimesha funga kutoa huduma hizo hospitali kwa 60% hutegemea wateja wa bima.
Siku hizi sio rahisi kutumia kadi ya mtu wameweka verification measures nyingi, ila miazi saba bila malipo sio rahisi hospitali zina kufa kwasbb zitakosa pesa ya kuninulia dawa.Hili suala la bima ni gumu sana kutekeleza Tanzania kwa sababu ya corruption na uaminifu. Ni mara nyingi unakuta mtu anachukuwa bima ya mtu mwingine anaenda kutibiwa nayo au hizo hospital nazo zinakuwa na makandokando yakufanya zipate fedha zaidi.
Ndio maana HUDUMA ni mbovu nenda muhimbiliMiazi saba ni mingi nyingi zingekua zimesha funga kutoa huduma hizo hospitali kwa 60% hutegemea wateja wa bima.
Acha propaganda, yaaani taasisi itoe huduma miezi yote hiyo na isilipwe, hayo makubaliano gani,Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela
Hospital zote mpaka Sasa zina Miezi 7 hazijalipwa Hela zinazodai Kwa wanachama w zinazowahudumia , na zimefikia kukoswa vifaa vya kumuhumia Mgonjwa Kwa sababu hazina pesa.
Huku serikali imekaa Kimya na wizara ya afya
Hesabu hazidangsnyi, bajeti yetu tlioni 44,makusanyo tilioni 29! Hiyo nakisi ya tilioni 15 , inabidi tupate mikopo ya wazungu, wakigoma tunaumia, zingine samia inabidi aibe kwenye mifuko ya bima, hifadhi ya jamii, hata tukipata zote 44,38 ni mishahara, msfuta, na posho, 3,maendeleo, zingine kulipa mikopo!Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela
Hospital zote mpaka Sasa zina Miezi 7 hazijalipwa Hela zinazodai Kwa wanachama w zinazowahudumia , na zimefikia kukoswa vifaa vya kumuhumia Mgonjwa Kwa sababu hazina pesa.
Huku serikali imekaa Kimya na wizara ya afya
Halafu wagonjwa wapatiweje HUDUMA ?????Kama wameshindwa wafunge hiyo huduma.
Uko sahihi Mkuu Kwenye afya za watu viongozi wanaleta siasa na maigizo kibaoUongozi mbaya ni tatizo kwa Taifa hili suala la Bima naona linafanyiwa mzaha sana na mbaya zaidi hata waizri wa Afya ni Muigizaji na sio mtendaji kwa vyovyote vile bima haiwezi kuwa na ufanisi kama hamna mpango wa mathubuti wa Serikali wa kucontrol magonjwa yanayoambukizwa
Acha ubishi kama haupo kwenye iyo sekta usipende kubisha kila kituMiazi saba ni mingi nyingi zingekua zimesha funga kutoa huduma hizo hospitali kwa 60% hutegemea wateja wa bima.
Acha propaganda, yaaani taasisi itoe huduma miezi yote hiyo na isilipwe, hayo makubaliano gani,
kama hujui kinachoendelea Kwenye Kwenye mahospitali na Bima ya afya unaweza kusema tuko salaama ,ukweli Hali ni mbaya ni kibaya zaidi wanasiasa na viongozi Kwa Sasa hivi wananchi hata wakifa haiwahusu Kwao wanachojali ni Kula na kuiba pesa basi, Hili wanalifahamu lakini siasa za uongo zimewajaa rohoni
Halafu wagonjwa wapatiweje HUDUMA ?????
Wewe ulienda lini? Mimi nilikuwa hapo wiki 2 zilizopita na mtoto alifanyiwa upasuaji kwa Bima, keshi ningetoa 865,500. Alilazwa siku 4 Bima imelipia kila kitu.Ndio maana HUDUMA ni mbovu nenda muhimbili