MANG'ONYI JF-Expert Member Joined Jun 14, 2013 Posts 403 Reaction score 342 May 26, 2024 #21 Mzee Kimamingo said: Acha ubishi kama haupo kwenye iyo sekta usipende kubisha kila kitu Click to expand... Mimi nimo ndani ya sekta, siyo naongea kufurahisha, kama hospitali yako haijalipwa ujue una matatizo yako, sema ukweli? Mtu hajakulipa miezi 7 si amekiuka mkataba? Au hujielewi pia.
Mzee Kimamingo said: Acha ubishi kama haupo kwenye iyo sekta usipende kubisha kila kitu Click to expand... Mimi nimo ndani ya sekta, siyo naongea kufurahisha, kama hospitali yako haijalipwa ujue una matatizo yako, sema ukweli? Mtu hajakulipa miezi 7 si amekiuka mkataba? Au hujielewi pia.
MANG'ONYI JF-Expert Member Joined Jun 14, 2013 Posts 403 Reaction score 342 May 26, 2024 #22 Ongea specific issue, mbona una generalize vitu? Issue ni nini? Ulikosa huduma? Ulikosa dawa? Uliambiwa hospitali haitumii Bima? Uliambiwa uongeze pesa? Otherwise it is unfounded claims.
Ongea specific issue, mbona una generalize vitu? Issue ni nini? Ulikosa huduma? Ulikosa dawa? Uliambiwa hospitali haitumii Bima? Uliambiwa uongeze pesa? Otherwise it is unfounded claims.