Nipo katika hospital kuu ya mkoa iringa kwa zaidi ya saa 2 nipo mapokezi tu na hawa wahudumu wa afya ya mfuko wa bima ya afya ina maana huwa hawalipwi zile fedha zetu ambazo huwa wanatukata kwenye vi salary vyetu. Ila kama isingekuwa ni lazima kukatwa zile pesa ni bora kwenda private hospital ambako kwao mteja ni mfalme na sio huu mfuko ambao mteja kwao ni mtumwa. Walipeni pesa mnazozichukua kwetu au kazi ni kuzitumia kama alowances za maofisini.