Bima ya afya; Tatizo ni nini???

Bima ya afya; Tatizo ni nini???

sigachuma

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
233
Reaction score
29
Nipo katika hospital kuu ya mkoa iringa kwa zaidi ya saa 2 nipo mapokezi tu na hawa wahudumu wa afya ya mfuko wa bima ya afya ina maana huwa hawalipwi zile fedha zetu ambazo huwa wanatukata kwenye vi salary vyetu. Ila kama isingekuwa ni lazima kukatwa zile pesa ni bora kwenda private hospital ambako kwao mteja ni mfalme na sio huu mfuko ambao mteja kwao ni mtumwa. Walipeni pesa mnazozichukua kwetu au kazi ni kuzitumia kama alowances za maofisini.
 
Mi sijakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yaani Bima ya Afya ni janga kwa Watumiaji
Km usemavyo ni lazima lakini ingekuwa Hiyari
wasingepata watu wa kuchangia

Maana huduma ni mbovu kuliko kawaida
lakini pesa wanachukua kila mwezi.
 
rudia kusoma kama mara 3 au 4 ivi, au kama una kitambulisho cha bima ya afya nenda hospitali yyte ya serikali ndo utaelewa
Mi sijakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bima ya afya wanaona Kama wanatoa huduma bure kwa jamii, Wakati wanalamba pesa za wafanyakaziile mbaya. !
 
Back
Top Bottom