Habari wana Jukwaa
Mnamo tarehe 09 April 2017 niliondokewa na mzee wangu ambaya alikua mteja wa Bank moja wapo hapa Tanzania. Wakati wa mauti mzee alikua ameacha deni bichi ya Bank lipatalo Million 20 ikiwa ni siku 10 tu baada ya kupewa mkopo.
Sisi kama familia hatukuelewa matumizi ya pesa hiyo hivyo tukategemea kampuni ya bima kuilipa pesa hiyo kwani mzee alikua covered. Lakini ni miaka miwili sasa kampuni ya bima inasumbua kulipa na Bank haitaki kutoa hati ya nyumba iliyotumika kukopa
Msaada wa kisheria kuhusu namna ya kulitackle swala hili
Sent using Jamii Forums mobile app