Bima ya mwezi mmoja

ushauri wako mzuri Sana mkuu ila tatizo hii nchi ya kitu kidogo haya mambo hatuwezi kuyaacha kutokana Na mfumo uliopo. Binafsi sijawahi kuona traffic police anahakiki bima zaidi ya kuitumbulia macho Tu kuangalia Kama imeexpire au la.
 
Hawa watu wa bima inabidi wawe wabunifu. Mishahara inaingia ya mwezi mwezi lkn wao wanakomaa na bima ya mwaka.

Chief nimecheki na watu wa bima wanasema ipo ya miezi 4 unalipa Tshs 59000 kwa 3rd party na wanadai yapo makampuni yanatoa ya mwezi 1 ila sikupata ni kampuni gani.
 
bima ya mwezi ipo na sio feki....mwezi mmoja kama 30,000 hivi....nimeuliza Alliance na Bumaco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…