Mkuu hayo mambo ya kizamani, sasa hivi ukikatiwa sticker ya bima inaingizwa kwenye mtandao ambo kila mtu aweza kuhakiki.Huna haja ya kupiga simu kwa wakala. Askari anaingiza no ya sticker tu kwwnye mfumo anapata taarifa zote. Sikushauri kufanya mchezo huu kabisa
Kwani ukidakwa ni hatari. Pili kwa kukupa ufahamu sasa hivi unatakiwa ulipe pesa kwenda kampuni ya bima kwanza watakapo thibitisha wamepokea pesa ndio wakala au agents watakupa sticker ya bima. Na hakikisha kwa kutumia simu yako au ingia kwenye tovuti ya
www.tira.go tz online portal kwa ajili ya uhakiki kabla ya kuitumia ili kuepuaha matatizo