Bima ya NHIF iitwe bima ya watumishi kwani ina ubaguzi

Bima ya NHIF iitwe bima ya watumishi kwani ina ubaguzi

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,

Ni wazi bima ya NHIF inaubaguzi na wananchi wa kawaida hawawezi kumudu gharama zake hivyo ni vyema ikaitwa bima ya watumishi wa serikali ikaeleweka moja.

Sielewi ni kwanini serikali ishindwe kuanzisha bima ya afya kwa watu wote wakati inaweza kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa sana ikiwemo kugawa magari kwa wanasiasa.
 
Back
Top Bottom