Bima ya NHIF, Wanandoa na Watoto 4 kiwango cha chini Tsh 816,000 cha juu Tsh. 2,220,000 kwa Mwaka

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Baada ya Bima ya TOTO AFYA KADI kufutwa na NHIF, wewe ambaye ni mlipaji wa huduma ya Bima huu ndio mkeka wa Bima ya Afya kwa Wanandoa na Watoto au mtu mmoja mmoja kwa Mwaka mmoja

Bima.JPG
 
View attachment 2553400
ALAFU unalipa hizi hela ukienda dirishani unaambiwa dawa hamna hii nchi bhana. Toka elfu 50 mpaka malakiiiii.
 
Kuna watu ku-save 50,000 kwa mwezi ni mtihani. Wanapata hela ya kuendeshea maisha tu.

Unakuta mtu mwisho wa mwaka amesave 412,000.

Mwafwaaa!
 
Tumeipenda wenyewe ndendeee
Chaguo letu wenyewe ndendeee
Nawavimbe wapasuke ndendeee
Watajijua wenyewe ndendeee

Wacha waisome namba eeeeh
Ccm mbele Kwa mbeleee
 
Baada ya Bima ya TOTO AFYA KADI kufutwa na NHIF, wewe ambaye ni mlipaji wa huduma ya Bima huu ndio mkeka wa Bima ya Afya kwa Wanandoa na Watoto au mtu mmoja mmoja kwa Mwaka mmoja

View attachment 2553400
Wanarekebisha nakisi ya upotevu.

Wanaiba wao. Tunalipa sisi

Wanachofanya ni kutengua teuzi ili kulindana
 
Back
Top Bottom