Tetesi: Bima ya taifa NIC ni genge la utapeli chini ya serikali

Tetesi: Bima ya taifa NIC ni genge la utapeli chini ya serikali

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Huyu mdudu anayeitwa bima ya taifa NIC ni tapeli anamsumbua mama yangu

alishamaliza kuchangia bado wanamkata

Bima yake imeiva hawataki kumpa hela yake wanamzungusha huu mwezi wa sita

Maofisini walikuja kwa uple kuwaomba kinamama wajiunge kwa unyenyekevu sasa mama yangu anadai chake mnamsumbua

Bima ya taifa mlipeni mama yangu hela yake na kwakweli msije mkaona watu wabaya wakianza kuwafukuza kwenye ofisi zao chanzo ni nyie !!

Mlipeni mama yangu hela yake anadaiwa vikoba kama hamtaki bakini nayo sio shida ila mtaelewa tu!!
 
Hopeless NIC

HOPELESS BIMA YA TAIFA
 
Back
Top Bottom