Inabeba mbolea, mchanga, matofali, mazao kama mahindi, maharage nk.
Inabeba mbolea, mchanga, matofali, mazao kama mahindi, maharage nk.Hiyo trekta unataka uipeleke wapi? ,bima hutakwa kutokana na thamani ya kitu,na ww mmliki WA chombi NDIO unakwenda kuwaambia thamani ya chombo chako kisha wao ndioa hukupigia hesabu ,ila kuwa makini kuna bima feki au unaweza lipia bima ya mtambo ukakatiwa bima ya piki piki
Bodi ina usajili wake.Unataka bima ya ajali au ? Bima ya nn, hiyo bodi ina plet namba?
Tela linakatiwa bima mkuu. Bima ya kawaida ni kama gari tu laki na kumi na nane elfu.Bodi ina usajili wake.
Nahitaji bima ya kuepuka usumbufu barabarani. Nahitaji bima iliyo nafuu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana.Tela linakatiwa bima mkuu. Bima ya kawaida ni kama gari tu laki na kumi na nane elfu.