Bima ya tela la trekta

Bima ya tela la trekta

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Naomba kufahamu iwapo unapokata bima ya trekta na tela linakatiwa bima yake. Au tela halikatiwi bima.

Iwapo linakatiwa bima, ni kiasi/gharama gani kwa mwaka. Bima ya kawaida (third party).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo trekta unataka uipeleke wapi? ,bima hutakwa kutokana na thamani ya kitu,na ww mmliki WA chombi NDIO unakwenda kuwaambia thamani ya chombo chako kisha wao ndioa hukupigia hesabu ,ila kuwa makini kuna bima feki au unaweza lipia bima ya mtambo ukakatiwa bima ya piki piki
 
Inabeba mbolea, mchanga, matofali, mazao kama mahindi, maharage nk.
Nashukuru sana kwa tahadhari hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka bima ya ajali au ? Bima ya nn, hiyo bodi ina plet namba?
 
Back
Top Bottom