Daa hii hatari sanaIncase chochote kikitokea tunakimbilia kutubu..!
Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....Mbona kama landcruiser hajui kama mnapima mwendo?...
Aaah ok..kuna rav 4 nimeiona ina 220..lakini hizo cruiser ikichanganya ni habar nyingneGari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....
Mjerumani angempita tu...
Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...
With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
220 ila unakuta engine ni ya 4 cylinders.. Utafanya kazi kubwa zaidi kuliko 8 cylinders kwenye hiyo hiyo speed.. V8 zipo vizuri.. Stamina ya kutosha..!Aaah ok..kuna rav 4 nimeiona ina 220..lakini hizo cruiser ikichanganya ni habar nyingne
Hehehe poa poa..safar njema mkuuAlikuwa anajua..!
Aisee SUV zinazochanganya faster kuliko sedans zipo nyingi tuu..Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....
Mjerumani angempita tu...
Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...
With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
X6 na Cayenne zinakuwaje SUV?Aisee SUV zinazochanganya faster kuliko sedans zipo nyingi tuu..
Kuna X6.. Cayenne.. AMG.. Ni vile huku kwetu ukitaja SUV picha inayokuja ni hizi gari za diesel..!
Hizo ni SUV..X6 na Cayenne zinakuwaje SUV?
Hizo Ni Coupe mzee....
Halafu hizo gari zote unazo taja zote zinaaccelerate slower ukilinganisha na SUV niliyokutajia.
Sasa imegine hiyo Jeep from 0 to 100 hailzifiki sekunde 3
Halafu kuna sedan nyingi tu ambazo acceleration kama hiyo haivuki 2 secs
3.5 sec kutoka official page yao JeepSasa imegine hiyo Jeep from 0 to 100 hailzifiki sekunde 3
Aisee 0-100 chini ya 2!!! Hata Supercars hiyo kitu ni challenge kwao..! Sio rahisi..! Hakuna sedan inaweza hiyo..!Halafu kuna sedan nyingi tu ambazo acceleration kama hiyo haivuki 2 secs
With a launch control ni less than 3 secs.3.5 sec kutoka official page yao Jeep
X6 yenyewe ni 3.8 sec..!
Aisee 0-100 chini ya 2!!! Hata Supercars hiyo kitu ni challenge kwao..! Sio rahisi..! Hakuna sedan inaweza hiyo..!
View attachment 2021577
Kuna kukopa mkuuGari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....