KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
- Thread starter
- #21
Aisee 2 seconds sio mchezo..yaani kufumba na kufumbua upo 100..Kuna kitu kwenye magari kinaitwa 2 seconds barrier.. Jaribu kufuatilia uone kwanini it's nearly impossible kuvunja hiyo barrier ya 2 seconds..!With a launch control ni less than 3 secs.
Chini ya 2 secs zipo gari nyingi tafuta Tesla Model S Plaid Edition. Haifiki 2 clsec from 0 to 100.
Halafu sedan nyingi zinaaccelerate faster kuliko kuliko SUV sababu ya structure zake kuruhusu more air kuflow. Pia Sedans siyo nzito sana kama SUV
Tesla uliyoitaja ina hp zaidi ya Buku 1,000+hp.. Engine kubwa.. Hakuna sedan inaweza pull 0-100 under 2 seconds..! Hata mbele iwe imechongoka kama sindano na nyepesi kama karatasi haiwezi..! Hata hiyo Tesla kuna special conditions..!
Uzito.. Aerodynamics.. Yes hizo ni sababu za gari kuchanganyana mapema.. Ila Engine ndio kila kitu..LC200 nzito karibu tani 3.. Ila moto wake unajulikana.. Ndio maana hata jina maarufu ni V8.. Sifa ya engine..!