Bimmer na Landcruiser V8

Amarok ni gari ngumu huwezi fananisha na mjerumani yeyote. VW ndo wenye gari reliable katika wajeruman wote
 
Maisha hayarudi nyuma, maisha yanasonga mbele .. hatuwezi jivunia vitu vya 2002 wakati kuna vy a2021 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ weka za asahivi
Hahahhahaha za sasahizi tutaweka mwaka 2030 huko πŸ˜… hatuwezi ongelea gari ambazo wanaendesha kina Alhaj hassan mwinyi πŸ˜… wakati sie uwezo wetu ni vyuma chakavu tu
 
Offroad ndio mahali hizo gari zinatakiwa zishindanishwe! Kwa Towwing na offroad Amarok akatafte mandazi na chai!

Kwenye kukimbia amarok ndio atamsumbua Hilux tena iwe amarok engine kubwa!
why offroad ? huwa mnatafuta vichaka vya kujifichia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hizo Hilux taka taka kwa mnyama amarok.. na kwanini tushindanishw gari yenye engine kubwa na kwa engine ndogo ? Tunaweka zote sawa ndio uweze kupata nani mtabe
 
Kwa engine sawa Amarok still ni kibonde, hilo liko wazi! Review ya offroad amarok amechakazwa vibaya ila kwenye drag race ndio amarok aliibuka kidedea.

We dont buy pick ups for drag races anyway.
 
why offroad ? huwa mnatafuta vichaka vya kujifichia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hizo Hilux taka taka kwa mnyama amarok.. na kwanini tushindanishw gari yenye engine kubwa na kwa engine ndogo ? Tunaweka zote sawa ndio uweze kupata nani mtabe
πŸ˜„πŸ˜„ Top gear walishamaliza ubishi khs Hilux.Sijui uimara wa Amarok wenyewe ulipimiwa wapi mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…