Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

Asilimia wakandarasi bongo wamekalili mkuu, mie nina mwana field anatumia Land lovel discover 4, mie nilikuwa natumia ki audi sema nimekiua 😀😀😀, sasa hivi navuta Mjerumani mwingine ndio wa field wadau kibao wanatumia Amarok, sema bongo tumeishameza mzee mwenzangu, ile meeting ya mwanza nilikuwepo nilipuliza sana maeneo flani 😀😀😀
Amarok ni gari ngumu huwezi fananisha na mjerumani yeyote. VW ndo wenye gari reliable katika wajeruman wote
 
3-series ipi asee mnafanisha na IST mbona mnatulosea adabu wajerumani ... hizi kama hizi ndio mnaringanisha na IST kweliii
View attachment 2023715View attachment 2023716
BA4E156B-0670-44DD-A74E-E06F7B9FA8E9.jpeg
9F2C04A3-F087-4DF6-A79C-C982EE9469A7.jpeg

Huku Toyopet huku Bimmer same year 2002!
Wote wana fenicha ndani shida iko wapi? Hebu acheni kumdiss muhuni wa Yokohama.
 
Maisha hayarudi nyuma, maisha yanasonga mbele .. hatuwezi jivunia vitu vya 2002 wakati kuna vy a2021 😀😀😀😀😀 weka za asahivi
Hahahhahaha za sasahizi tutaweka mwaka 2030 huko 😅 hatuwezi ongelea gari ambazo wanaendesha kina Alhaj hassan mwinyi 😅 wakati sie uwezo wetu ni vyuma chakavu tu
 
Offroad ndio mahali hizo gari zinatakiwa zishindanishwe! Kwa Towwing na offroad Amarok akatafte mandazi na chai!

Kwenye kukimbia amarok ndio atamsumbua Hilux tena iwe amarok engine kubwa!
why offroad ? huwa mnatafuta vichaka vya kujifichia 😀😀😀😀 hizo Hilux taka taka kwa mnyama amarok.. na kwanini tushindanishw gari yenye engine kubwa na kwa engine ndogo ? Tunaweka zote sawa ndio uweze kupata nani mtabe
 
Kwa engine sawa Amarok still ni kibonde, hilo liko wazi! Review ya offroad amarok amechakazwa vibaya ila kwenye drag race ndio amarok aliibuka kidedea.

We dont buy pick ups for drag races anyway.
 
why offroad ? huwa mnatafuta vichaka vya kujifichia 😀😀😀😀 hizo Hilux taka taka kwa mnyama amarok.. na kwanini tushindanishw gari yenye engine kubwa na kwa engine ndogo ? Tunaweka zote sawa ndio uweze kupata nani mtabe
😄😄 Top gear walishamaliza ubishi khs Hilux.Sijui uimara wa Amarok wenyewe ulipimiwa wapi mzee.
 
Back
Top Bottom