wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kule kwa waturuki Shabib aliwakodishia waturuki Hilux D4D Jumla 20,Sasa sijui hakuziona Amarok,Ranger,X-class etc ππwhy offroad ? huwa mnatafuta vichaka vya kujifichia ππππ hizo Hilux taka taka kwa mnyama amarok.. na kwanini tushindanishw gari yenye engine kubwa na kwa engine ndogo ? Tunaweka zote sawa ndio uweze kupata nani mtabe
Amarok ni expensive wao wanataka cheap πππKule kwa waturuki Shabib aliwakodishia waturuki Hilux D4D Jumla 20,Sasa sijui hakuziona Amarok,Ranger,X-class etc ππ
ππ Wakina Nani hao wanataka cheap?Amarok ni expensive wao wanataka cheap πππ
Google tu Amarok na Hilux au youtube utaona πππ ukiweka ushabiki pembeni ndio utajua Amarok, hilux anapulizwa vizuri tuππ Top gear walishamaliza ubishi khs Hilux.Sijui uimara wa Amarok wenyewe ulipimiwa wapi mzee.
Wanao zikwepa wanakwepa gharama, demu wa masaki na demu wa buza kwa mama bonge unafikiri utawahudumia sawa sawa πππππ Wakina Nani hao wanataka cheap?
Pale we peleka Gari brand yoyote iwe SUV/Pick-up, wataruki wao wanakulipa mpunga wako tu mlioelewana,maintainance Ni juu yako mmiliki wa Gari.Wanao zikwepa wanakwepa gharama, demu wa madaki na demu wa buza kwa mama bonge unafikiri utawahudumia sawa sawa πππ
ππ Labda anapulizwa kwny maintainance cost tu lkn mzigoni never ever.Google tu Amarok na Hilux au youtube utaona πππ ukiweka ushabiki pembeni ndio utajua Amarok, hilux anapulizwa vizuri tu
Acha nikajipulizie leo weekend kazi ni moja tu , ila Amarok sio size yenu nenda kaangalie youtubeππ Labda anapulizwa kwny maintainance cost tu lkn mzigoni never ever.
Watu wa field tutakutana nazo huku porini,Kama haziji huku site then zitabaki Ni kwa ajili ya show off tu, mzigoni Ni bila bila.Acha nikajipulizie leo weekend kazi ni moja tu , ila Amarok sio size yenu nenda kaangalie youtube
Unataka ikija site ifanyaje mkuu πππ, Mercedez X nayo mnasemaje ππWatu wa field tutakutana nazo huku porini,Kama haziji huku site then zitabaki Ni kwa ajili ya show off tu, mzigoni Ni bila bila.
kuna mwamba wangu mmoja , field hakanyagi kabisa na toyota anatumiaga Range Rover Velar tu, field sio lazima uende na magari yenu hayo ππππWatu wa field tutakutana nazo huku porini,Kama haziji huku site then zitabaki Ni kwa ajili ya show off tu, mzigoni Ni bila bila.
ππ Labda hio Ni field ya mzaha mzaha,yaani labda field ya kula ubwabwa.Sijawahi kumona bongo contractor anaendesha huo mzaha huku field.kuna mwamba wangu mmoja , field hakanyagi kabisa na toyota anatumiaga Range Rover Velar tu, field sio lazima uende na magari yenu hayo ππππ
Umeshaiona wapi?Unataka ikija site ifanyaje mkuu πππ, Mercedez X nayo mnasemaje ππ
Mkuu, serious sio nimeeandika utani jamaa namjua ndio gari anazotumia site hizo, mwanzo mie nilikuwa namshangaa na yeye akawa ananishangaaa πππππ Labda hio Ni field ya mzaha mzaha,yaani labda field ya kula ubwabwa.Sijawahi kumona bongo contractor anaendesha huo mzaha huku field.
Kwanza hapo kwny business expenses deductible (repairs and maintenances) TRA haiwezi kubali kuiweka maintenance cost za Verah.Narudia tena hakuna kitu Kama hicho na Hakunaga contractor boya mzee.
Town zipo kibao zipo mbonaUmeshaiona wapi?
ππ ππ aiseee.Mkuu, serious sio nimeeandika utani jamaa namjua ndio gari anazotumia site hizo, mwanzo mie nilikuwa namshangaa na yeye akawa ananishangaaa πππ
Za kuendea field?πππTown zipo kibao zipo mbona
Ningemtaja hapa na kutoa hata location yake ila sio anaweza na mie kunijua au usije ukawa ndio wewe mwenyewe πππππππ ππ aiseee.
field za mbele huko, hapa bado kuanza kwenda field kui hudumia ile ni gharama kulinganisha na Hilux πππZa kuendea field?πππ
hiyo kutubu ya kusubiri mpaka chochote kitokee mbona kama ya kumtega huyo unayemtubia kama vile huna haja ya kutubu mpaka chochote kitokee. huyo unayemtubia ana formula kuwa anakuvizia usipotubu anakufanyaje au ukitubu wakati kimetokea chochote atakufanyaje?ndio maana hapo kwenye dashboard kuna vitabu vya dini.. Incase chochote kikitokea tunakimbilia kutubu