Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

why offroad ? huwa mnatafuta vichaka vya kujifichia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hizo Hilux taka taka kwa mnyama amarok.. na kwanini tushindanishw gari yenye engine kubwa na kwa engine ndogo ? Tunaweka zote sawa ndio uweze kupata nani mtabe
Kule kwa waturuki Shabib aliwakodishia waturuki Hilux D4D Jumla 20,Sasa sijui hakuziona Amarok,Ranger,X-class etc πŸ˜„πŸ˜„
 
Watu wa field tutakutana nazo huku porini,Kama haziji huku site then zitabaki Ni kwa ajili ya show off tu, mzigoni Ni bila bila.
kuna mwamba wangu mmoja , field hakanyagi kabisa na toyota anatumiaga Range Rover Velar tu, field sio lazima uende na magari yenu hayo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kuna mwamba wangu mmoja , field hakanyagi kabisa na toyota anatumiaga Range Rover Velar tu, field sio lazima uende na magari yenu hayo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜„πŸ˜„ Labda hio Ni field ya mzaha mzaha,yaani labda field ya kula ubwabwa.Sijawahi kumona bongo contractor anaendesha huo mzaha huku field.

Kwanza hapo kwny business expenses deductible (repairs and maintenances) TRA haiwezi kubali kuiweka maintenance cost za Verah.Narudia tena hakuna kitu Kama hicho na Hakunaga contractor boya mzee.
 
Mkuu, serious sio nimeeandika utani jamaa namjua ndio gari anazotumia site hizo, mwanzo mie nilikuwa namshangaa na yeye akawa ananishangaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ndio maana hapo kwenye dashboard kuna vitabu vya dini.. Incase chochote kikitokea tunakimbilia kutubu
hiyo kutubu ya kusubiri mpaka chochote kitokee mbona kama ya kumtega huyo unayemtubia kama vile huna haja ya kutubu mpaka chochote kitokee. huyo unayemtubia ana formula kuwa anakuvizia usipotubu anakufanyaje au ukitubu wakati kimetokea chochote atakufanyaje?
 
Back
Top Bottom