Bimmer na Landcruiser V8

Aisee 2 seconds sio mchezo..yaani kufumba na kufumbua upo 100..Kuna kitu kwenye magari kinaitwa 2 seconds barrier.. Jaribu kufuatilia uone kwanini it's nearly impossible kuvunja hiyo barrier ya 2 seconds..!

Tesla uliyoitaja ina hp zaidi ya Buku 1,000+hp.. Engine kubwa.. Hakuna sedan inaweza pull 0-100 under 2 seconds..! Hata mbele iwe imechongoka kama sindano na nyepesi kama karatasi haiwezi..! Hata hiyo Tesla kuna special conditions..!

Uzito.. Aerodynamics.. Yes hizo ni sababu za gari kuchanganyana mapema.. Ila Engine ndio kila kitu..LC200 nzito karibu tani 3.. Ila moto wake unajulikana.. Ndio maana hata jina maarufu ni V8.. Sifa ya engine..!
 

Sasa ndiyo nini
 
Mbona kama landcruiser hajui kama mnapima mwendo?...
Land cruiser alikua haba habari kabisa anaenda mwendo wa ku relax yani!

Ukute ile dereva anamuwahi boss ndio utajua hujui😅yani anaelekea Dodoma kaambiwa saa 7 awe kafika hio chuma itavyotembea mzee kwanza inawashwa fog lights! Ikianza kuchapa lami ni mwendo wa masaa matatu tu hamna kuzi ataleta ushanta!
 

Ziko za 180 ambazo ndiyo tunaletewa bongo,,,,nchi za kiarabu kama ckosei zote ni 220, 240 na 260.
 

Hiyo tesla haina engine. Ni gari ya umeme.

Halafu 0 to 100 kwa less than 2 zipo video nyingi sana youtube wanazungumzia hilo.

Tafuta video za gari inaitwa Aspark Owl uone balaa lake.

Yes unasema engine inamatter ila mfano mdogo tu. BMW X6 M competition ina smaller engine kuliko Hiyo Track Hawk....

Ila ukija in real life kwenye race hiyo M competition ni ya moto. Inaaccelerate faster kuliko Track hawk.
 
Hahaha aisee unazingua.. Engine na Motor mule mule..!

Unaona sasa aina ya gari unazozitaja.. Ndio nazisikia leo.. Gari za kuhesabika na sio sedans.. Inaonesha kabisa hakuna gari nyingi zinazoweza kupull hiyo 2 seconds barrier..!

Aisee X6 M haina engine ndogo.. Twin turbo.. V8.. 600+ hp.. Nini tena upewe hapo.. Yes haijafika hp za Hawk ila hiyo Bavarian Motor sio ndogo..Yaani Sababu Yao Ming ni mrefu zaidi ya Shaq O'Neal unataka kusema Shaq ni mfupi..!!?
 

Ina engine ndogo ukilinganisha na Hawk. Hawk inaizidi karibu 200HP...
 
Cayenne ana SUV ya kawaida inafanana na X5 na ana SUV Coupè inafanana na X6.
 
Pamoja na kwamba Trackhawck ana HP kubwa ila kuna gari zina HP ya kawaida zinamkalisha mchana kweupe.

Porsche Cayenne Turbo GT
BMW X6 Competition

Hawa wadudu wawili ni bad news linapokuja suala la mbio.
 
Hakuna SUV duniani yenye kutoka 0-100 chini ya 3 sec.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…