Bimmer na Landcruiser V8

Hahaha sure aisee.. Uingie gharama ya muda.. Mafuta.. Na mtengenezaji akiona logo nje ya mjapani anabadilisha bei ya ufundi..!
 
Mkumbushe tu taasisi zote za kimataifa , UN , UNHCR, FAO etc , zina makao makuu ulaya ,lakini wanapotaka kununua gari kwa ajili ya mission zao , wananunua Toyota.
Waasi , Taliban,etc wana cash za kutosha kununua brand yoyote ya gari wanayotaka , lakini kwenye nission zao wananunua Toyota.

Germany cars , hata trucks zao zinakupa umaarufu na comfortability ,but not reliability ,
Toyota might look old fashioned and slower but you are guaranteed that it wont refuse to start the day your pregnant wife is gong to deliver.
 
oil is cheap than metal, gari za mzungu zina mbio na fuel economy nzuri, lakini sii reliable.
Kwa mtu ambaye anatumia gari kama tool, au workhorse reliability ya gari huwa ni first priority.
 
Napinga hoja..
Makao makuu ya UN hayapo Ulaya..!!

Naunga hoja..
Reliability kwa Mjapani..!
 
oil is cheap than metal, gari za mzungu zina mbio na fuel economy nzuri, lakini sii reliable.
Kwa mtu ambaye anatumia gari kama tool, au workhorse reliability ya gari huwa ni first priority.
Yes.. Metal ni gharama zaidi..
Ndio maana nimemuelezea mchangiaji hapo juu cost za maintenance sio kujaza mafuta..!
Kujaza mafuta ni running cost..!
 
Its never gonna fail you! Thats what they were built for.
 
Kumbuka mwenye toyota anaweza kuweka 20W 50 na gari ikatembea freshi tu! Hebu wewe mteja wa Liqui Molly weka 20w50 tuone 😅!

Mainatanace ya toyota unaweza fanya kwa laki tu ikiwa ni filters na oil pamoja na cleaners! Ila BMW gani utaweka vyote kwa laki 😅
 

Kwahiyo gharama za oil service ya BMW ni kubwa kuliko fuel unayoitumia kwa hiko kipindi?
 
Aisee kuna BMWs oil recommended ndio hiyo 20w50..!
Hata mimi ndio oil natumia..!
 
Kwahiyo gharama za oil service ya BMW ni kubwa kuliko fuel unayoitumia kwa hiko kipindi?
Fuel sio gharama ya kulinganisha na oil..
Fuel ni kama LUKU.. Unalipa Kadri unavyotumia.. Usipotumia gari hakuna fuel cost.. Ila oil change interval haijalishi gari inatumika au vipi.. Hata gari ikipaki after miezi 6 mpaka mwaka oil inatakiwa ibadilike.. Oil ina life span..!
 
Sikudanganyi mkuu nilishakutana na hilux pickup imewekwa maji ya sabuni ya unga kwenye reservior ya mafuta ya breki na gari inakwenda Changanyikeni to Goba😅

Jaribu hilo kwenye BMW kisha utupatie mrejesho!
Sure, mwaka 2014 tulikuwa pori na Land Cruiser series 76 Hard Top. Tulitumia Sana povu la sabuni ya kipande na maji kama Brake Fluid.

Na Kuna siku spring za nyuma zilikatika ikabidi tufunge mti mbichi na kamba itusogeze Mjini.
 
Nakubali, LS ya 2013 comfort yake 5 series BMW haioni ndani.
 
Sasa BMW x5 au x7 itakuwaje au Benz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…