Mkumbushe tu taasisi zote za kimataifa , UN , UNHCR, FAO etc , zina makao makuu ulaya ,lakini wanapotaka kununua gari kwa ajili ya mission zao , wananunua Toyota.
Waasi , Taliban,etc wana cash za kutosha kununua brand yoyote ya gari wanayotaka , lakini kwenye nission zao wananunua Toyota.
Germany cars , hata trucks zao zinakupa umaarufu na comfortability ,but not reliability ,
Toyota might look old fashioned and slower but you are guaranteed that it wont refuse to start the day your pregnant wife is gong to deliver.