JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Obviously aisee..
Hata mwili wa binadamu ukiwa stressed life span inayumba..
Hapa ndio unapofail....
Most ya zile gari nilizopost ambazo zimegonga 1m km zina turbo. Hapo unasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obviously aisee..
Hata mwili wa binadamu ukiwa stressed life span inayumba..
Displacement kubwa itakutia hasara ya kunywa mafuta zaidi.Ila fungeni safari mnaenda let say mwanza from dar afu utajua faida ya hizo displacement kuwa kubwa faida yake
Hahaha whaaat.. Hayo mambo ya fundi wa Mwembe Chai yametokea wapi..!!!?Kwahiyo wewe fundi wa mwembe chai unajua zaidi kuliko engineers waliotengeneza hizo gari?
Tuache hayo, hapo tumeongelea output ya engine na sio mechanism ya kuburn fuel and oxygen. Na mpaka nikakwambia 2l turbo charged inaitoa jasho engine kubwa.
Kwahiyo tutegemee Usain Bolt avute akiwa na miaka mingapi? 40? 50?Obviously aisee..
Hata mwili wa binadamu ukiwa stressed life span inayumba..
Sasa huwezi jua jinsi zilivyokuwa zinaendeshwa..Hapa ndio unapofail....
Most ya zile gari nilizopost ambazo zimegonga 1m km zina turbo. Hapo unasemaje?
Sawa.Hahaha whaaat.. Hayo mambo ya fundi wa Mwembe Chai yametokea wapi..!!!?
Kwanini usiwaze ni ni mmoja wa retired engineers kwenye R&D ya kampuni moja..
Tofautisha mazoezi na stress..Kwahiyo tutegemee Usain Bolt avute akiwa na miaka mingapi? 40? 50?
Na wale mabwanyenye wanaojibwatisha maofisini waishi miaka 80? 90?
Wale mababu zetu waliokuwa wanatembea 40km kufuata huduma muhimu, wengi walikufa na miaka kuanzia 60na kuendelea. Sisi vijana tunaotembea na magari 24/7 tunakufa in 30 au 40.
Hapo imekaaje?
Aisee soma vizuri..Sawa.
Kwanini hukutoa ushauri waachane na hizo engine ambazo unaona zipo stressed?
Tufanye unafanya kazi Porsche, washauri waachane na 3.8l inayotoa 650hp wahamie kwenye 6.7l ili wapate hiyo 650hp. Manake engine haiwi stressed.
Sasa bwana engineer, unaongeleaje Jeep Trackhawk yenye 6.2l inatoa 700hp? Manake ni turbo and super charged.
Tatizo lako unahamisha magoli na bado unatoa maboko.Sasa huwezi jua jinsi zilivyokuwa zinaendeshwa..
Hapa tunazungumzia zikiwa zinashindana..
Engine kubwa ina max hp n torque kwenye lower rpms kuliko ndogo.. Kwahiyo wear n tear itakuwa ndogo..
Sasa zile gari inaonesha wanaendesha Wazee.. Nimewaona kwenye video.. Kwahiyo nina assume hazikuwa zikikanyagiwa vizuri..
Aisee driving style inachangia maisha ya engine.. Tena kwa kiasi kikubwa sana...Tatizo lako unahamisha magoli na bado unatoa maboko.
Jinsi ya kuendeshwa haibadilishi chochote kwenye uhai wa gari.
Hayo ma vxr si ndo yanakimbizwa sana? Mbona unayakuta juu ya mawe ambapo most of them hayajafikisha 300k?
Basi uliwapa ushauri wakaona haukuwa na kichwa wala miguu, wakakupa demotion uende assembly ukawa engineer wa kufunga bolt & nut.Aisee soma vizuri..
Retired Engineer.. Mstaafu.. Nakula Pension..
Consultation natoa kwa vijana humu..
Enzi zangu engines zilikuwa kubwa..
Plus nimeshapoint out hapo juu.. Emission standards zinalimit engines..
Asante ... umefunga uziAhhh sio kwamba wao hawajui gari inakuwa stressed zaidi.. Wanajua ndio maana maintainance yake inakuwa delicate..! View attachment 2035117View attachment 2035116
Uzuri wa engineering ni hakuna njia moja ya kufanya jambo.. Turbo na smaller engines unazikuta kwenye gari za Wajapani.. Wazungu nao pia..Basi uliwapa ushauri wakaona haukuwa na kichwa wala miguu, wakakupa demotion uende assembly ukawa engineer wa kufunga bolt & nut.
Manake hoja zako hazijawa scientifically proven. Zile story za mafundi wa vijiwezi ndo unazileta humu.
Mfano mzuri ni pale uliposema ukimbize gari ya 1.6l mpaka mwanza halafu kesho yake ishindwe kuwaka. Kama hii ndo engineering uliosoma, basi sawa na kina Dr. Msukuma.
See.Aisee driving style inachangia maisha ya engine.. Tena kwa kiasi kikubwa sana...
Gari inayokuwa revved sana itawear mapema kuliko Granny driven car..
Gari inayoendeshwa na Mzee mara nyingi inakuwa less stressed kuliko akiiendesha kijana..!
Hahaha aisee hii kitu haiwezekani..See.
Bado unahamisha goli na bado unashindwa kuleta any substance on the table.
Gari nyingi zenye engine ndogo na hp kubwa watu wanaziabuse sana. Kwenye drag races, rolling races na bado zinadumu. Why?
Wanazitunza vizuri, wanafuata manual ya gari.
Na 3.5l natural aspirated zinabembelezwa na bado zinakufa. Angalia hapa bongo hizo harriers, vanguards zilivyo juu ya mawe.
Hii ndo mambo nabishana na wengi sana kwa madai au lile jibu la unadhan alioweka hivi hana akili?? Ni kama speedometer unakuta ka gari kana 1ton hp 80 afu speedo inasoma 240kph na yeye akili zake anajua akikanyaga anafika hio speed ukimwambia anakwambia kwan alioweka hana akili 😁Mkuu wazungu walio tulitea haya, unafikiri hawakuwa reason kama wewe na hadi wakaamua kuleta hivyo vyuma? Kama vingekuwa nashida wasingetoa maana mambo mazuri mazuri yote yanatoka kwa mzungu.. Nimeona wanatoa VW R 4 cyl.. HP 400++
Kwahiyo hapo mkuu unaona umeongea kitu kipya kwamba watu hawakifahamu?Halafu kuna mambo ya historia inabidi muyafahamu.. Sisi wakongwe kwenye Automotive industry..
Gari za Kijapani zilianza kupata soko kubwa sababu ya oil crisis miaka ya 70s.. Gari zao engine ndogo zikawa dili..
Kama ilivyoleo gari za cc ndogo ndio kila mtu anazigombania.. Hata market price inakuwa determined na demand yake.. Ndio maana bei juu.. Sio kwamba ni nzuri ishu ni CRISIS..
Narudia Knowledge is power.. Sio swala la kukariri.. Fahamu mambo..!
Kama unakifahamu it's good.. Kuna wengine watapata kitu..!Kwahiyo hapo mkuu unaona umeongea kitu kipya kwamba watu hawakifahamu?
Ila unachosahau ni kwamba, teknolojia ya wakati huo haikuwa kubwa kama ilivyo sasa.
Hivi higher mileage kwenye IST ni ngapi mliowahi onaKama unakifahamu it's good.. Kuna wengine watapata kitu..!
Yes technology ilikuwa nyuma.. Ila kulikuwa na engines kubwa na ndogo.. Engines ndogo zilikuwa haziuzi.. Ilipokuja crisis.. Boom kila mtu anataka kubana bajeti.. Then ndio zikaanza kupata soko..
Kama mafuta sio ishu Kwanini utumie engine ndogo wakati kuna engine kubwa..!!!?
Hata leo hii gari kama IST bei ipo juu sio sababu ni nzuri.. Mafuta kidunchu misele mingi..!bigger engine ni better..!