Sawa OK MO atoke then kafanyeni Audit,muone kama mtaendesha hiyo timu,mnaweza mkakuta hata hela ya kuwalipa KMPG au PWC kwa ajili ya Audit mkakosa.
Sometimes tuwerealistic hizi timu watu wanawekeza sababu ya mapenzi.
Ndio maana niliwauliza hivi kabla ya MO ,ilikuwaje na baada ya MO ipoje?
Tuacheni unafiki hizi timu zote za Kko,kama tukitumia FFP ya UEFA zote zinajiendesha kwa hasara na wote wangefungiwa kusajili,sababu wanacho ingiza na kutumia vitu viwili tifauti.
MO anabeba mzigo wa madeni,sema anaitaka timu ila alio karibu nao wanamkwaisha. Nikuambie kitu kwa mashabiki wa hii timu ninao wajua na kutaniana nao hamna hata mmoja anayetaka MO atoke,hamna anayetaka hiyo Audit report.
Hata auditing zinazo fanyika tuzosikiazo za kisela,ila sio za kiuweledi.Unaweza MO anaitaka sana hiyo Auditing report ila kuna wajanja hawataki ifanyike,ishajiuliza why Babra alikuwa anapigwa vita sana, maana ni mmoja wa viongozi aliyekuwa akifuatilia maswala ya mapato na matumizi na aliwekwa na MO.Unaweza ukakuta MO aliwaacha mjifunze in hardest way na mjua burden anayo ipata ktk kuibeba timu.