Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
- #21
Timu hizi zimeendeshwa kihuni kwa miaka zaidi ya 80 ndo maana ziko kama zilivyo mabadiliko yamekuja hautaki unataka ziendelee kuendeshwa kihuni ndo maana nikakuambia uko mbali sana kifikraKuna sehemu nimelazimisha na kusema wafanye KPMG au PWC ? Nimetoa mifano ya auditing Firm,OK una ripoti yoyote ya Audit iliyofanya na kampuni yoyote ya ukaguzi wa fedha kabla MO hajaichukua timu.
Nimekuuliza kabla ya MO club ilikuwa inaendeshwa vipi,hizo Audit za fedha alikuwa anafanya nani?