Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Inabidi ibomolewe ama mpangaji atoke kwa kumlipa kodi ya pango aliyotoa je baba mwenye nyumba ana Hela ya kulipa mpangaji, (rudishia mpangaji), ?Simba haijafanya audited financial statements Toka uanze mchakato wa mabadiliko 2018. Ndo maana tunasema mchakato haujakamilika unakuaje na Bodi? Yani unajenga nyumba lakini mpangaji yuko ndani na pesa kalipa, unajenga kwa maekezo yake sio kwa matakwa yako kama mwenye nyumba
Ndicho kitu pekee kilichobakia kwa sasa, kwa mashabiki wenzako walio wengi. Matusi na kejeli vitapewa kipumbele kwenye mjadala.Hizi mada zimejaa utaalamu Ila utacheka zitakavyojadiliwa
Sema simba inaendeshwa kihuni na kiujanja ujanja sanaNdicho kitu pekee kilichobakia kwa sasa, kwa mashabiki wenzako walio wengi. Matusi na kejeli vitapewa kipumbele kwenye mjadala.
Wachambuzi wa bongo wanajua kila kitu,huyu jamaa anajua sheria,uhasibu,Audit then mchambuzi,anatafuta Cheap populality.Simba haijafanya audited financial statements Toka uanze mchakato wa mabadiliko 2018. Ndo maana tunasema mchakato haujakamilika unakuaje na Bodi? Yani unajenga nyumba lakini mpangaji yuko ndani na pesa kalipa, unajenga kwa maekezo yake sio kwa matakwa yako kama mwenye nyumba
Ungejadili hoja yake ingependeza kuliko kumjadili yeye.Wachambuzi wa bongo wanajua kila kitu,huyu jamaa anajua sheria,uhasibu,Audit then mchambuzi,anatafuta Cheap populality.
Mashabiki lazima mjiulize kabla ya Mo ilikuwaje na baada ya Mo ilikuwaje,hizi kelele zitawapoteza,mkifanya masihala miaka kumi, upingwa na michuano ya CAF,atadominate Yanga akifuatiwa na Azam.
Hizi kelele zikiwatoa kwenye mstari tu mtpotea msimu ujao,hata Confederation mtaishia kuisikia kwenye radio.
Namjadili yy sababu anavyo vijadiri vipo nje ya professional yake.Ungejadili hoja yake ingependeza kuliko kumjadili yeye.
Je auditing ilifanyika au lah, haikunyika ni kwa nini?.. taratibu zinatakaje?
Kama unaona ni swa kwa taasisi kama simba au yanga kutokufanyiwa auditing basi unasafari ndefu sana kifikraNamjadili yy sababu anavyo vijadiri vipo nje ya professional yake.
Kwani tokea timu yenu ianzishwe ishafanyiwa Audit mara ngapi?
Sawa OK MO atoke then kafanyeni Audit,muone kama mtaendesha hiyo timu,mnaweza mkakuta hata hela ya kuwalipa KMPG au PWC kwa ajili ya Audit mkakosa.Kama unaona ni swa kwa taasisi kama simba au yanga kutokufanyiwa auditing basi unasafari ndefu sana kifikra
Swala sio umefanya au haujafanya mara ngapi bali wewe unaona ni sawa mahesabu ya taasisi inayoingiza mabilion kutokufanyiwa auditing kwenye financial statement yake
Mkuu embu pumzika ulale.Sawa OK MO atoke then kafanyeni Audit,muone kama mtaendesha hiyo timu,mnaweza mkakuta hata hela ya kuwalipa KMPG au PWC kwa ajili ya Audit mkakosa.
Sometimes tuwerealistic hizi timu watu wanawekeza sababu ya mapenzi.
Ndio maana niliwauliza hivi kabla ya MO ,ilikuwaje na baada ya MO ipoje?
Tuacheni unafiki hizi timu zote za Kko,kama tukitumia FFP ya UEFA zote zinajiendesha kwa hasara na wote wangefungiwa kusajili,sababu wanacho ingiza na kutumia vitu viwili tifauti.
MO anabeba mzigo wa madeni,sema anaitaka timu ila alio karibu nao wanamkwaisha. Nikuambie kitu kwa mashabiki wa hii timu ninao wajua na kutaniana nao hamna hata mmoja anayetaka MO atoke,hamna anayetaka hiyo Audit report.
Hata auditing zinazo fanyika tuzosikiazo za kisela,ila sio za kiuweledi.Unaweza MO anaitaka sana hiyo Auditing report ila kuna wajanja hawataki ifanyike,ishajiuliza why Babra alikuwa anapigwa vita sana, maana ni mmoja wa viongozi aliyekuwa akifuatilia maswala ya mapato na matumizi na aliwekwa na MO.Unaweza ukakuta MO aliwaacha mjifunze in hardest way na mjua burden anayo ipata ktk kuibeba timu.
We kalale si wengine,baada ya kucheki mechi tunendelea kula maisha.Mkuu embu pumzika ulale.
Kwani auditing ni lazima wafanye kpmg au pwc ndo maana nikasema uko mbali sana kifikraSawa OK MO atoke then kafanyeni Audit,muone kama mtaendesha hiyo timu,mnaweza mkakuta hata hela ya kuwalipa KMPG au PWC kwa ajili ya Audit mkakosa.
Sometimes tuwerealistic hizi timu watu wanawekeza sababu ya mapenzi.
Ndio maana niliwauliza hivi kabla ya MO ,ilikuwaje na baada ya MO ipoje?
Tuacheni unafiki hizi timu zote za Kko,kama tukitumia FFP ya UEFA zote zinajiendesha kwa hasara na wote wangefungiwa kusajili,sababu wanacho ingiza na kutumia vitu viwili tifauti.
MO anabeba mzigo wa madeni,sema anaitaka timu ila alio karibu nao wanamkwaisha. Nikuambie kitu kwa mashabiki wa hii timu ninao wajua na kutaniana nao hamna hata mmoja anayetaka MO atoke,hamna anayetaka hiyo Audit report.
Hata auditing zinazo fanyika tuzosikiazo za kisela,ila sio za kiuweledi.Unaweza MO anaitaka sana hiyo Auditing report ila kuna wajanja hawataki ifanyike,ishajiuliza why Babra alikuwa anapigwa vita sana, maana ni mmoja wa viongozi aliyekuwa akifuatilia maswala ya mapato na matumizi na aliwekwa na MO.Unaweza ukakuta MO aliwaacha mjifunze in hardest way na mjua burden anayo ipata ktk kuibeba timu.
Mashabiki hawashauriki kwakifupi ni mbumbumbuKwani auditing ni lazima wafanye kpmg au pwc ndo maana nikasema uko mbali sana kifikra
Club kama taasisi haiwezi endeshwa kihuni bila utaratibu
Kuna sehemu nimelazimisha na kusema wafanye KPMG au PWC ? Nimetoa mifano ya auditing Firm,OK una ripoti yoyote ya Audit iliyofanya na kampuni yoyote ya ukaguzi wa fedha kabla MO hajaichukua timu.Kwani auditing ni lazima wafanye kpmg au pwc ndo maana nikasema uko mbali sana kifikra
Club kama taasisi haiwezi endeshwa kihuni bila utaratibu
Hawawezi kukujibuKuna sehemu nimelazimisha na kusema wafanye KPMG au PWC ? Nimetoa mifano ya auditing Firm,OK una ripoti yoyote ya Audit iliyofanya na kampuni yoyote ya ukaguzi wa fedha kabla MO hajaichukua timu.
Nimekuuliza kabla ya MO club ilikuwa inaendeshwa vipi,hizo Audit za fedha alikuwa anafanya nani?