Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #21
Timu hizi zimeendeshwa kihuni kwa miaka zaidi ya 80 ndo maana ziko kama zilivyo mabadiliko yamekuja hautaki unataka ziendelee kuendeshwa kihuni ndo maana nikakuambia uko mbali sana kifikraKuna sehemu nimelazimisha na kusema wafanye KPMG au PWC ? Nimetoa mifano ya auditing Firm,OK una ripoti yoyote ya Audit iliyofanya na kampuni yoyote ya ukaguzi wa fedha kabla MO hajaichukua timu.
Nimekuuliza kabla ya MO club ilikuwa inaendeshwa vipi,hizo Audit za fedha alikuwa anafanya nani?
Nimekuuliza kabla ya MO timu ilikuwa inajiendesha vip hujanijibu? Auditing ripoti kabla ya MO hujanijibu?Timu hizi zimeendeshwa kihuni kwa miaka zaidi ya 80 ndo maana ziko kama zilivyo mabadiliko yamekuja hautaki unataka ziendelee kuendeshwa kihuni ndo maana nikakuambia uko mbali sana kifikra
Simba ni taasisi imesajiliwa Rita kisheria inatakiwa ipeleke hesabu zilizokaguliwa Rita.Kuna sehemu nimelazimisha na kusema wafanye KPMG au PWC ? Nimetoa mifano ya auditing Firm,OK una ripoti yoyote ya Audit iliyofanya na kampuni yoyote ya ukaguzi wa fedha kabla MO hajaichukua timu.
Nimekuuliza kabla ya MO club ilikuwa inaendeshwa vipi,hizo Audit za fedha alikuwa anafanya nani?
😁Simba ni taasisi imesajiliwa Rita kisheria inatakiwa ipeleke hesabu zilizokaguliwa Rita.
Hakuna utetezi wowote kwanini hesabu zao hazikaguliwi.
Hebu futa komenti yako unajidhalilisha,kasome tena kazi ya hiyo taasisi,uliyo itaja.Simba ni taasisi imesajiliwa Rita kisheria inatakiwa ipeleke hesabu zilizokaguliwa Rita.
Hakuna utetezi wowote kwanini hesabu zao hazikaguliwi.
Wewe ndio kasome hivi hujui Rita ndio waliwaambia Simba wakarekebishe katiba, hayo mamlaka walipata wapi. Unajua baraza la wadhamini linasajiliwa wapi na Nini kazi yake.Hebu futa komenti yako unajidhalilisha,kasome tena kazi ya hiyo taasisi,uliyo itaja.
Tena future haraka kabla watu hawajaiona hiii komenti yako.
Me nimemashangaa mdauHebu futa komenti yako unajidhalilisha,kasome tena kazi ya hiyo taasisi,uliyo itaja.
Tena future haraka kabla watu hawajaiona hiii komenti yako.