Nilimuona hata pacome akiruka ruka kama chura mfa maji kule Algeria, pamoja na bleach yake alikosa hata akili ya kuzuia mashambulizi achilia mbali akili ya kutafuta hata kagoli ka kufutia choziππBIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.
Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally (Kihisia).
Kocha ajae ana kazi ngumu ya kufanya na kazi viongozi wataendekeza hii hali wamuandale kabisa kocha pesa yake manake WATAMTIMUA pia. Bora Yanga iliyofungwa ugenini ilikuwa na vitu vingi positive (chanya) kiwanjani kuliko Simba walivyocheza.
[@jemedarisaid ]View attachment 2825336
Umeandika Kama zezeta!Nilimuona hata pacome akiruka ruka kama chura mfa maji kule Algeria, pamoja na bleach yake alikosa hata akili ya kuzuia mashambulizi achilia mbali akili ya kutafuta hata kagoli ka kufutia choziππ
Uto haina wachezaji wa kuwavusha kimataifa ila ina wachezaji wa kuvuka kitaifa kwa kubebwa na magoli ya kuotea ππ
Ndugu mchambuzi unadhani hata Aziz ufunguo ako na nguvu ya kuwavusha? Jamaa kachoka kabaki kukenua meno tu π ama kweli boli la kimataifa Uto kakosea njia kabisa awaachie tu wana lunyasi wao wana uzoefu nalo.
Picha haendani na topic mkuuBIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.
Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally (Kihisia).
Kocha ajae ana kazi ngumu ya kufanya na kazi viongozi wataendekeza hii hali wamuandale kabisa kocha pesa yake manake WATAMTIMUA pia. Bora Yanga iliyofungwa ugenini ilikuwa na vitu vingi positive (chanya) kiwanjani kuliko Simba walivyocheza.
[@jemedarisaid ]View attachment 2825336
Tulikua ugenini....tunawasubiri Kwa mkapaNilimuona hata pacome akiruka ruka kama chura mfa maji kule Algeria, pamoja na bleach yake alikosa hata akili ya kuzuia mashambulizi achilia mbali akili ya kutafuta hata kagoli ka kufutia chozi[emoji23][emoji23]
Uto haina wachezaji wa kuwavusha kimataifa ila ina wachezaji wa kuvuka kitaifa kwa kubebwa na magoli ya kuotea [emoji23][emoji23]
Ndugu mchambuzi unadhani hata Aziz ufunguo ako na nguvu ya kuwavusha? Jamaa kachoka kabaki kukenua meno tu [emoji23] ama kweli boli la kimataifa Uto kakosea njia kabisa awaachie tu wana lunyasi wao wana uzoefu nalo.
watakuwa fiti vipi iwapo wanadingiziwa waliuza mechi ya yanga?BIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.
Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally (Kihisia).
Kocha ajae ana kazi ngumu ya kufanya na kazi viongozi wataendekeza hii hali wamuandale kabisa kocha pesa yake manake WATAMTIMUA pia. Bora Yanga iliyofungwa ugenini ilikuwa na vitu vingi positive (chanya) kiwanjani kuliko Simba walivyocheza.
[@jemedarisaid ]View attachment 2825336
Kwa nini umesoma hadi mwisho mwandiko wa 'zezeta' kisha ukatokwa povu?!Umeandika Kama zezeta!
Walipokuwa "imara" kadiri ya mawazo yake aliwahi kusema na kuipongeza?BIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.
Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally (Kihisia).
Kocha ajae ana kazi ngumu ya kufanya na kazi viongozi wataendekeza hii hali wamuandale kabisa kocha pesa yake manake WATAMTIMUA pia. Bora Yanga iliyofungwa ugenini ilikuwa na vitu vingi positive (chanya) kiwanjani kuliko Simba walivyocheza.
[@jemedarisaid ]View attachment 2825336
Inawezekana ukweli aliokuwa anawaeleza, waliufanyia kazi!Sasa hivi utopolo wanamshangilia Sana Kazumari Ila akianza kuwaeleza ukweli wanamtukana.
hata kama si yeye ka ujumbe kame delivered...Kwa hiyo, huyo ndo jemedari said?