Bin Kazumari: Simba hii imekufa

Bin Kazumari: Simba hii imekufa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
BIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.

Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally (Kihisia).

Kocha ajae ana kazi ngumu ya kufanya na kazi viongozi wataendekeza hii hali wamuandale kabisa kocha pesa yake manake WATAMTIMUA pia. Bora Yanga iliyofungwa ugenini ilikuwa na vitu vingi positive (chanya) kiwanjani kuliko Simba walivyocheza.

[@jemedarisaid ]
1700973491741.jpg
 
[@jemedarisaid ]View attachment 2825336
Nilimuona hata pacome akiruka ruka kama chura mfa maji kule Algeria, pamoja na bleach yake alikosa hata akili ya kuzuia mashambulizi achilia mbali akili ya kutafuta hata kagoli ka kufutia chozi😂😂

Uto haina wachezaji wa kuwavusha kimataifa ila ina wachezaji wa kuvuka kitaifa kwa kubebwa na magoli ya kuotea 😂😂

Ndugu mchambuzi unadhani hata Aziz ufunguo ako na nguvu ya kuwavusha? Jamaa kachoka kabaki kukenua meno tu 😂 ama kweli boli la kimataifa Uto kakosea njia kabisa awaachie tu wana lunyasi wao wana uzoefu nalo.
 
Umeandika Kama zezeta!
 
BIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.

Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally (Kihisia).

Kocha ajae ana kazi ngumu ya kufanya na kazi viongozi wataendekeza hii hali wamuandale kabisa kocha pesa yake manake WATAMTIMUA pia. Bora Yanga iliyofungwa ugenini ilikuwa na vitu vingi positive (chanya) kiwanjani kuliko Simba walivyocheza.

[@jemedarisaid ]View attachment 2825336
Picha haendani na topic mkuu
 
Nilimuona hata pacome akiruka ruka kama chura mfa maji kule Algeria, pamoja na bleach yake alikosa hata akili ya kuzuia mashambulizi achilia mbali akili ya kutafuta hata kagoli ka kufutia chozi[emoji23][emoji23]

Uto haina wachezaji wa kuwavusha kimataifa ila ina wachezaji wa kuvuka kitaifa kwa kubebwa na magoli ya kuotea [emoji23][emoji23]

Ndugu mchambuzi unadhani hata Aziz ufunguo ako na nguvu ya kuwavusha? Jamaa kachoka kabaki kukenua meno tu [emoji23] ama kweli boli la kimataifa Uto kakosea njia kabisa awaachie tu wana lunyasi wao wana uzoefu nalo.
Tulikua ugenini....tunawasubiri Kwa mkapa
 
BIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.

Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally (Kihisia).

Kocha ajae ana kazi ngumu ya kufanya na kazi viongozi wataendekeza hii hali wamuandale kabisa kocha pesa yake manake WATAMTIMUA pia. Bora Yanga iliyofungwa ugenini ilikuwa na vitu vingi positive (chanya) kiwanjani kuliko Simba walivyocheza.

[@jemedarisaid ]View attachment 2825336
watakuwa fiti vipi iwapo wanadingiziwa waliuza mechi ya yanga?
 
Huyo Kazumari amewasifia sana makolo mwisho ameshindwa ameamua kuwabwaga na muda sio mrefu anavadilisha upepo
 
BIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.

Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally (Kihisia).

Kocha ajae ana kazi ngumu ya kufanya na kazi viongozi wataendekeza hii hali wamuandale kabisa kocha pesa yake manake WATAMTIMUA pia. Bora Yanga iliyofungwa ugenini ilikuwa na vitu vingi positive (chanya) kiwanjani kuliko Simba walivyocheza.

[@jemedarisaid ]View attachment 2825336
Walipokuwa "imara" kadiri ya mawazo yake aliwahi kusema na kuipongeza?
 
hivi kazumari ni synonym ya Zumaridi maana kila nikisoma ilo Jina hili lingine linanijia kichwani 😂
 
Back
Top Bottom