Bin Zubeiry usidanganye watu

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
ndege iliobeba wachezaji wa yanga sio walivyochelewa eti kwa sababu ya malipo.ndege asubuhi ilienda dom ikaridi saa 3 na inapaki uwanja wa zamani ifanyiwe cheking ije ipaki uwanja mpya wale wafanyakazi wa ndege sio wamiliki wa hiyo ndege kuna ofisi maalum usitake kuchonganisha serikali na wananchi kwa lengo eti inawadharirisha yanga angalia blog yako sio kuwafurahisha upande mwingine
 
Bin zuber siku zote sio mkweli na liblog lake analeta ushabiki wa mkia.....chefuu hata aibu haoni
 
Ndo taabu ya kuwa na Waandishi wa habari Ma'kanjanja,huyu Jamaa 0 kabisa,uandishi wake cku zote hulenga kwenye mapenzi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…