Binaadamu wanaliwa kama kitoweo

Bugududu Sududu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
594
Reaction score
691
Habari zenu,

Mimi ni mfugaji nafuga kuku leo asubuhi kuna kuku wangu nimemvumilia kwa siku 5 kutokana na ugonjwa wake nikidhani angepona maana ana vifaranga vya wiki moja ila kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndio hali yake inazidi kuwa mbaya.mwisho nimeamua nimchinje baada ya kumvumilia kwa muda bila mafanikio.

Sasa wakati namchinja mawazo yakanijia "Vipi kama huu ulimwengu ungekuwa na majitu makuubwaa(Giant) yakawa yana tufuga sisi yakawa yanatutumia kama kitoweo, kwenye sherehe anachinjwa mtu,vmgeni lijitu likija anachinjwa binadamu ukiumwa ukawa hauna dalili za kupona unachinjwa ili kuepuka hasara.

Kweli wewe uliye soma uzi huu kwa hiyo afya mgogoro yako ungelikuwepo kweli?[emoji2]
Ni jambo la kufikirisha sana.

Usishangae,

Kuna rafiki'angu kanipa kahawa ya baridi ipo kwenye kopo kaniambia eti ni toleo jipya.
 
Kuna namna unayoliwa mkuu we hujui tu kuna video zao nazionaga kuzimu kule hatari..🏃🏃🏃🏃
 
Hayo majitu yapo.

Yanaitwa "wanasiasa".
 
Nani kakuambia kama binadamu haliwi?

Wachawi na Wanga wanakula binadamu wenzao...


Cc: mahondaw
 
Mbona watu wanaliwa sana tena hapo jirani tu Uganda! Na misitu ya Congo mbilikimo wanamalizwa... Mimi mwenyewe nilishawahi kula mtu
 
Mbona watu wanaliwa sana tena hapo jirani tu Uganda! Na misitu ya Congo mbilikimo wanamalizwa... Mimi mwenyewe nilishawahi kula mtu
Wanadai ukishakula nyama ya mtu hautoacha hiyo tabia kwahyo hata mawe nadhani unaendelea na hiyo hulka
 
Mbona watu wanaliwa sana tena hapo jirani tu Uganda! Na misitu ya Congo mbilikimo wanamalizwa... Mimi mwenyewe nilishawahi kula mtu


Aisee, huyo mtu ulimlaje, ulikula nyama ya mtu (human flesh ) au ??!!,
 
Kuliwa kuna namna nyingi, wewe una hisi ungeliwa kwa namna ipi?
 
Story ya kuku inachinja binadamu[emoji2][emoji2].Any way Mungu alituweka first class viumbe vyote tuvitawale,so kuchinja viumbe vingine sawa.wanaochinjana wenyew as human huo mpango sio wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…