Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 594
- 691
Habari zenu,
Mimi ni mfugaji nafuga kuku leo asubuhi kuna kuku wangu nimemvumilia kwa siku 5 kutokana na ugonjwa wake nikidhani angepona maana ana vifaranga vya wiki moja ila kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndio hali yake inazidi kuwa mbaya.mwisho nimeamua nimchinje baada ya kumvumilia kwa muda bila mafanikio.
Sasa wakati namchinja mawazo yakanijia "Vipi kama huu ulimwengu ungekuwa na majitu makuubwaa(Giant) yakawa yana tufuga sisi yakawa yanatutumia kama kitoweo, kwenye sherehe anachinjwa mtu,vmgeni lijitu likija anachinjwa binadamu ukiumwa ukawa hauna dalili za kupona unachinjwa ili kuepuka hasara.
Kweli wewe uliye soma uzi huu kwa hiyo afya mgogoro yako ungelikuwepo kweli?[emoji2]
Ni jambo la kufikirisha sana.
Usishangae,
Kuna rafiki'angu kanipa kahawa ya baridi ipo kwenye kopo kaniambia eti ni toleo jipya.