wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Dalali wa mechi mgao wako ni asilimia ngapi?Wacponunua c tutawaacha paref mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalali wa mechi mgao wako ni asilimia ngapi?Wacponunua c tutawaacha paref mkuu
Duh!!!!Wacponunua c tutawaacha paref mkuu
Sasa kama umechukua zote mimi Kweli ninakuwa na mgaoWe zako ngap
Hahaha.. Heshima yako Mkuu."Tatizo Simba mnamtegemea sana Mavugo, alishindwa kufunga huyo ndio basi tena, mpira haupo hivyo"
ONE MONTH LATER
"Simba pale ukimbana vizuri Tshabalala umekwisha, magoli yote anatengeneza yeye hakuna tena, ni kikosi kile kile tu cha kutegemea wachezaji wawili, bado sana"
EARLIER THIS MONTH
"Simba tatizo lao kila kitu Kichuya, siku akiumia yule na mpira ndio umekwisha maana ndio anatengeneza na kipika magoli, ndio mhimili wa timu bado mna safari ndefu sana"
YESTERDAY
"Mnaingia mnamtegemea Mzamiru, mchezaji haeleweki yule lazima mle goli, mechi za ugenini hamna ubavu wa kushinda, huyo Mzamiru atakutana na beki wenye njaa atatulizwa"
TODAY
"Mnaona sasa mnavyotegemea mchezaji mmoja? MO Ibrahim jana kawabeba sana, yaani bila yeye sijui mngetokaje.. Chezeni kama timu sio kutegemea mtu mmoja"
NEXT WEEKEND
"mmekutana na timu vibonde, hao Stand wameshajichokea Mwadui hawana kocha, wala msione kama mmefanya kitu kikubwa, subiri mzunguko wa pili ndio mtakiona cha moto na kutegemea mchezaji mmoja kitawaumiza"
HITIMISHO.
Tumesajili wachezaji ili tuwategemee, UNATAKA TUMTEGEMEE BABAAKO? Tunataka tutegemee kila mchezaji mwaka huu, ipo siku mtasema bila Angban Simba si lolote si chochote, endeleeni kuwahesabu mmoja baada ya mwingine
Ana ukawaida gani uyo galasa tu ukimuacha yeye na kipa anapaishaKm kawaida yake, bt jina lako lnasadif aisee