Kenge wa dondo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 263
- 169
Mbona sokwe wa Siku hizi hawabadiliki huko maporin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo tuMbona sokwe wa Siku hizi hawabadiliki huko maporin?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hao masokwe ambao bado wapo..!!walikataa kubadilika au..??
Umeona copyright
Bora yko wewe nyani kuliko sisi sokwe [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Labda wewe+wajomba zako+ukoo wenu wote ndo mmetokana na sokwe.
Nice mkuuuuu [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Historia tunayofundishwa shuleni mambo mengi sana ni uongo, ukianzia na hili la kuwa sokwe wakati tunajua fika sokwe sio babu yetu.
--cha ajabu wazungu wao hawajatokana na sokwe kwa sababu hakuna sokwe wa kizungu.
Umenifanya nimecheka kwa nguvuLabda wewe.
Dah nipo busy kinoma my dear...ila nitakutafuta kutimiza nilichokuahidi.Umenifanya nimecheka kwa nguvu
Binadamu asili yake ni primate na kwenye kind hili la primate wapo..wapo chimpanzee..gorilla.. monkey..apes n.k.. kuwa kwenye category moja aimanishi sisi ni nyani..shida ni lugha ya kiswahili Ina matatizo kuifundishia.. mfano tu TWO NIGHTS kwa kiswahili utasemaje?
Hivyo basi si kweli kwamba binadamu alikuwa nyani..
EeeehItakuwa ww mwenyew
Nice [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sio kweli kwa sababu mpaka saivi sokwe wapo maporini huko kama ingelikuwa ni kweli vizazi vya sokwe vingekuwa vimeisha , au unataka kunidhibitishia kuwa sokwe waliopo huko maporini wanaweza kubadilika na kuwa binadamu kama mimi.. Ili niweze kuamini vitabu vyetu tulivyo soma awali.!
Lay people wanadhani ni rahisi kiasi hivyo kwa sababu hawaelewi the science behind it. At least soma hii article halafu tafakari ni Sawa na kile ulichotangaziwa darasani au?
=========
I. Introduction
Evolutionists offer a number of arguments in support of common descent, i.e., the claim that all life descended from a common ancestor. One of the more prom- inent arguments, an argument that figures heavily in lay conversations and the public consciousness writ large, is as follows: When we look across the animal world and organisms more broadly, we find that there are “striking genetic sim- ilarities” between species with otherwise distinct phenotypes (i.e., distinct ob- servable characteristics). For example, despite significant differences in each or- ganism’s external traits, chimpanzee and human genomes are approximately 99% identical1 (or 98%,2 96%,3 94%4 depending on the research study).
Popular scientists, like Richard Dawkins, often employ claims of human-chimp genetic similarity to further arguments about common descent and to oppose the notion of human exceptionalism and the Christian and Islamic narrative of hu- man origins from a created ancestor, namely Adam.5
What is often left unpresented to the non-specialist public are the details and distinctive nature of this “striking” genetic similarity so often touted by public intellectuals and scientific reporting alike.6
Taking a closer look at the scientific literature provides further information that puts these similarity claims into proper context. What is apparent is that the con- clusion of 99% similarity is an oversimplification, and the scientific conclusions drawn are much more cautious and, by themselves, much less definitive of com- mon descent than is often assumed in the public discourse.
1 King, M., and A. Wilson. “Evolution at Two Levels in Humans and Chimpanzees.” Science 188.4184 (1975): 107-116.
2 Wildman, D. E. “Implications Of Natural Selection In Shaping 99.4% Nonsynonymous DNA Identity Between Humans and Chimpanzees: Enlarging Genus Homo.” Proceed- ings of the National Academy of Sciences 100.12 (2003): 7181-7188.
3 NIH/National Human Genome Research Institute. “Comparing the chimp and human genomes.” N.p., 31 Aug. 2005. Web. 5 Apr. 2014. http://genome.well- come.ac.uk/doc_WTD020730.html
4 Demuth, Jeffery P., et al. “The Evolution of Mammalian Gene Families.” PLoS ONE 1.1 (2006): e85.
5 “Richard Dawkins– Comparing the Human and Chimpanzee Genomes.” YouTube. 16 Mar. 2012. Web. 5 Apr. 2014. .
6 Broad Institute of MIT and Harvard. “Comparison of human and chimpanzee genomes reveals striking similarities and differences.” Broad Institute of MIT and Harvard. Broad Institute Communications, 31 Aug. 2005. Web. 5 Apr. 2014. Comparison of human and chimpanzee genomes reveals striking similarities and differences | Broad Institute.
TulidanganywaVitabu vyote shuleni vinathibitisha hilo kwamba sisi binadamu tumetokana na sokwe je maneno haya ni kweli ?
![]()