Binadamu alichomwa chanjo nyingi kuliko binadamu yoyote afikisha miaka 100

Binadamu alichomwa chanjo nyingi kuliko binadamu yoyote afikisha miaka 100

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
8,472
Reaction score
17,249
Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili.

Mtangazaji huyo, maarufu kwa sauti yake ya kipekee ya utulivu, aliweka viwango vipya vya makala za historia ya asili zenye vipindi kama vile Life on Earth, Planet Earth na The Blue Planet.


1778274137271.png
 
Back
Top Bottom