Binadamu ambao hatujui tarehe zetu za kuzaliwa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kuna baadhi ya watu huwa hatujui tarehe zetu za kuzaliwa na sio tarehetu baadhi hata miaka yetu hatuhifahamu kabisa siyo kwamba tulizaliwa zaman sana hapana wengine tumezaliwa miaka ya 80 na 90


Kwanini hatujui tarehe zetu kila mtu na sababu zake na ataweka hapa

Lakin mimi sababu yangu ni moja tu mama yangu alinitoka nikiwa bado mdogo sana hivyo nimelelewa na shangaz zangu na kila shangaz yangu nikimuuliza hunambia mwaka wake tofaut kabisa lakin husema ni 92au93 hivyo mimi niliamua kujichagulia tarehe yangu ninayouipenda na nikajichagulia mwaka wangu wa 92

Lakin ukwel ndo huo kuwa mimi sijui mwaka wangu wa kuzaliwa lakin ni kati ya 92na 93 hiyo ni kwa maelezo ya shangaz zangu

Nawe waweza weka sababu yako kwanini hujui tarehe yako ya kuzaliwa

Nawasilisha

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaa aise hili tatizo tunalo wengi na mm nimojawapo wawaathirika wa tatzo hilo mm nimekulia kwa babu yangu wakar nikiwa kule babu yangu aliniambia nimezaliwa 90 lakin nilipokuja kumuuliza mama yangu aksema nilizaliwa 92 lakin wakat huohuo baba naye anadai nimezaliwa 90 asa nashindwa kuelewa nan zaid anayejua umri halis bt mm niliamua kuchukua umri wa mama yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hili ni tatizo la kitaifa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahaaaa hii thread inachekesha watoto wa miaka ya 90 tare zao aza kuzaliwa hazijulikani? miaka ya tisini kuna mtu alikuwa hajui kuosma na kuandika tena? au mlizaliwa nchi gani wenzentu?
 
Asprin njoo waone wajukuu wako humu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
TUNAKUMBUSHANA TU
Mwaka/ Umri
1970- 47
1971- 46
1972- 45
1973- 44
1974- 43
1975- 42
1976- 41
1977- 40
1978- 39
1979- 38
1980- 37
1981- 36
1982- 35
1983- 34
1984- 33
1985- 32
1986- 31
1987- 30
1988- 29
1989- 28
1990- 27
1991- 26
1992- 25
1993- 24
1994- 23
1995- 22
1996- 21
1997- 20
Sasa wewe endelea kujiona bado mdogo, wengine tunakuona MHENGA [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…