Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kuna baadhi ya watu huwa hatujui tarehe zetu za kuzaliwa na sio tarehetu baadhi hata miaka yetu hatuhifahamu kabisa siyo kwamba tulizaliwa zaman sana hapana wengine tumezaliwa miaka ya 80 na 90
Kwanini hatujui tarehe zetu kila mtu na sababu zake na ataweka hapa
Lakin mimi sababu yangu ni moja tu mama yangu alinitoka nikiwa bado mdogo sana hivyo nimelelewa na shangaz zangu na kila shangaz yangu nikimuuliza hunambia mwaka wake tofaut kabisa lakin husema ni 92au93 hivyo mimi niliamua kujichagulia tarehe yangu ninayouipenda na nikajichagulia mwaka wangu wa 92
Lakin ukwel ndo huo kuwa mimi sijui mwaka wangu wa kuzaliwa lakin ni kati ya 92na 93 hiyo ni kwa maelezo ya shangaz zangu
Nawe waweza weka sababu yako kwanini hujui tarehe yako ya kuzaliwa
Nawasilisha
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app