Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kulikuwa na mambo mabaya sana kijana wangu. Hao unaowaona wanapiga kelele wote waikimbilia mbali leo wapo huru haswa wanatusi hovyo hovyo na kukashifu.Kumbe anasingiziwa ukatili.
Kumbe Ukonga ni mahali huru kabisa kwa Lissu akipewa jina baya la uhaini ambao haikuwah tokea before.Kulikuwa na mambo mabaya sana kijana wangu. Hao unaowaona wanapiga kelele wote waikimbilia mbali leo wapo huru haswa wanatusi hovyo hovyo na kukashifu.
Kwani we mzee sasahivi watu hawateswi na kuuawa?Kulikuwa na mambo mabaya sana kijana wangu. Hao unaowaona wanapiga kelele wote waikimbilia mbali leo wapo huru haswa wanatusi hovyo hovyo na kukashifu.
Katika kila nchi matukio haya yapo, nenda SA, nenda kokote yapo, kibaya yanapozidi kupitiliza kama ya wakati ule!, mpaka kufikia watu kukimbia, "It was horible"Kwani we mzee sasahivi watu hawateswi na kuuawa?
Unataka kusema awamu hii ya hangaya Haina mambo mabaya? Hebu kuwa serious. Kama wewe unaneemeka acha wanaoumizwa watoe sauti.
Kwanini hawaendi kwa bw kiiza besgye ambaye anasikitisha sana, kumbuka BW BESIGYE hakuwahi kutamka maneno ya hatari (uasi) kama ya bw. Lissu, besgye analipenda taifa lake, amesimamia kwenye haki za kimsingi za taifa lake na si kuwashamoto nchi, kuasi, kumwaga damu, lissu got what he deserve, the evils words are on tapes, lives!Yani nyie vijana wa CCM ni wapumbavu sana!
Kipindi kile nchi ilikua inaandaliwa kuwa ya kijamaa/ kikomunist hivyo kulikua na sababu ya kusema hawa ni mawakala wa ubebari hivyo tuwapige.
Leo hii serikali inashikamana na hawa wanaoitwa watetezi wa demokrasia/mabepari alafu hapohapo inawaumiza wajoli waliotumwa na haohao mabepari. Mtakua na akili timamu kweli?
Hatufurahii wazungu kuingilia mambo yetu ya ndani sema inatubidi kwakua tunajua hao ni mabwana wenu pia.
Tukiwashtaki kwao wanaweza kuwaadabisha
Kumbe huna tofauti na kauli ya hangaya kusema kifo ni kifo tu.Katika kila nchi matukio haya yapo, nenda SA, nenda kokote yapo, kibaya yanapozidi kupitiliza kama ya wakati ule!, mpaka kufikia watu kukimbia, "It was horible"
Katika jamii ya watu inayofikia milion 70 wenye akili mbali mbali, nzuri na mbaya ,halafu nyote muwe shwari, akili za ajabu sana. (kusinge kuwepo na haja ya polisi) polisi wapo lakini ni ngumu kufikia kila angle, ndiyo maana wahalifu hapo ndipo hupata nafasi, ulinzi wa taifa ni jukumu letu sote!Kumbe huna tofauti na kauli ya hangaya kusema kifo ni kifo tu.
Unasema kipindi ile yalizidi, kwa sasa unaona yamepungua? Poa, twende unavyotaka, inamaana haya yaliyopo kama ni madogo kuliko awamu iliyopita ndo waonewaji wakae kimya? Ndugu kuwa serious. Kama we unafaidika na haya yanayoendelea Kaa kimya tu usiwashangae wanaopiga kelele.
Sasa kwa sababu kwingine yapo matukio ya namna hii kwetu inabidi watu wakae kimya au unatakaje ndugu mleta mada?.
Kumbe unaelewa kwamba hatuwezi kuwa shwari, so why unawashangaa wanaolalamika? Au unataka wasilalamike!Katika jamii ya watu inayofikia milion 70 wenye akili mbali mbali, nzuri na mbaya ,halafu nyote muwe shwari, akili za ajabu sana.
Tundu lisu ndiyo mtanzania pekee aliyewahi kupiga kelele wakati wengine waliufyata.Kulikuwa na mambo mabaya sana kijana wangu. Hao unaowaona wanapiga kelele wote waikimbilia mbali leo wapo huru haswa wanatusi hovyo hovyo na kukashifu.
Nchi kubwa ina watu 70ml, wenye akili mbaya na nzuri, majambazi, wezi, wauaji wasagaji, wabakaji, kila upumbavu umekusanywa kwenye watu 70ml, (Tuwape tunzo polisi wetu, kuweka salama watu wote hao sio kazi nuepesi)Tundu lisu ndiyo mtanzania pekee aliyewahi kupiga kelele wakati wengine waliufyata.
Ujinga wako ni pale unapolinganisha ubaya kwa ubaya! Kwamba kwa sababu baba yako aliua watu wachache/ wengi basi huna haki ya kumkosoa wala kumkemea baba mwingine tu kwakuwa ameua waxhache zaidi ya baba yako?
Kuua ni kua tu bila kuangalia idadi.
Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki.