Hii inauhusiano na mada hii?
Mkuu nilikosea. I hope sijaaribu mtiririko wa mada husika.
Yericko,wewe unaamini uwepo wa MUNGU?nakuona ukitumia neno Jah mara kwa mara ndio maana nimekuuliza hivi?
@ Yericko???????Kwangu Jah/Mungu ni imani tu,
Kwangu Jah/Mungu ni imani tu,
ndio maana nimekuuliza UNAAMINI?(una imani hiyo,kwamba Mungu yupo?)