Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Yericko,wewe unaamini uwepo wa MUNGU?nakuona ukitumia neno Jah mara kwa mara ndio maana nimekuuliza hivi?
 
ok,kumbe unaamini mungu manake marastafari wanaamini mungu ingawa sijui ni yupi!Sasa twende taratibu mkuu,manake njia tunayoiendea ina vigingi vingi,inabidi utulize akili na uvute kikombe cha ghahawa pembeni hapo ila tu 'mjani' sikuruhusu,utanikwaza kiimani na kuanza kunipa majibu ya ajabu hapa bwana!Mkuu,bila kujali ni mungu gani nyie marasta mnamwamini,wewe ukiwa muamini mungu,unafikiri ni reasonable kuwa hivyo au unafanya kwa mazoea au fasheni tu?
 
Back
Top Bottom