Genius anazaliwa..lakini pia anaweza kutengenezwa...ukiangalia wagunduzi wakubwa walikuwa sio magenius shuleni,kusema walikuwa wanaongoza madarasani..Lakini mimi naamini vyakula vina mchango mubwa sana katika kumfanya mtu awe genius, kwa mfano vyakula vya ngano vina virutubisho vingi na protein pia, ndizi za kupika(angalia sehemu zote watu wanakula ndizi kama chakula kikuu),samaki,matunda ya kiwi,ubuyu,ndizi kisukari na maziwa...Ukiwa na mtoto hakikisha katika siku 5 za wiki anakula vyakula hivi kwa mzunguko,hasa ngano,ndizi na samaki..