Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanajua ukifa ndio basi kumbe ndio safari inazidi kukolea 😄 huko mbele kama ni utamu wa mbousousou basi ndio umekolezwa mara mbili 🔥Mungu hayupo , halafu kifo hakijawahi kuwa tatizo , kifo ni mwendelezo tu wa uhai.
Huyu mama nguo yake ina damu?View attachment 3146130Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Kuomba huyo Mungu ni kupoteza muda.
Wastage of time.
Hakuna Mungu aliyewahi kusaidia kitu chochote kile.
Ndio maana kuna maelfu ya watu hasa watoto wadogo na Wanawake wasio na hatia yeyote ile wamekufa, wanakufa na wanaendelea kufa kila kukicha.
Licha ya kusali, kufunga, kumuomba na kumlilia sana huyo Mungu awaepushe na magonjwa, njaa, vita, majanga ya asili. Lakini hakuna kinacho tokea wanakufa na wanazidi kufa.
YeahHuyu mama nguo yake ina damu?
NdioHuyu mama nguo yake ina damu?
Mumuombe kupitia kwa hawa akina Mwamposa,Kakobe na TB Josua???aisee ukweli Dunia imechafukwa watu wanamfata sheta sasa hivi kuliko Mungu waoHivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?
Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Kuna washenzi hapo katikati hawatakubali, wanaamini katika kufa kwa mabomu ya kujilipuaHivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?
Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Mwingine mfuasi wa akina Mwamposa baada yakukesha anapiga kelele atimaye kaja na kufuru kwamba Mungu hayupo!!kweli!! Sijui kajiumba na kujipa pumzi??View attachment 3146130Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Kuomba huyo Mungu ni kupoteza muda.
Wastage of time.
Hakuna Mungu aliyewahi kusaidia kitu chochote kile.
Ndio maana kuna maelfu ya watu hasa watoto wadogo na Wanawake wasio na hatia yeyote ile wamekufa, wanakufa na wanaendelea kufa kila kukicha.
Licha ya kusali, kufunga, kumuomba na kumlilia sana huyo Mungu awaepushe na magonjwa, njaa, vita, majanga ya asili. Lakini hakuna kinacho tokea wanakufa na wanazidi kufa.
Leta evidence kwamba Mungu hayupoView attachment 3146130Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.