Maelfu ya waamini Mungu wamekufa na wanaendelea kufa.
Hata wewe lazima ufe licha ya kwamba unamwamini huyo Mungu.
Hakuna Mungu anayetoa uzima.
ni sawa na kubishi hewa haipo kwa kuwa ujawahi iona na kuigusa
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika na kuhisika.
Hewa ipo, inahisika ipo, unaivuta na kujua hewa ipo.
Mungu
Hayupo kwa namna yoyote ile. Haonekani, Hashikiki, Hasikiki na wala haisiki kwa vyovyote vile.
Mungu mmemtunga vichwani mwenu ndio maana hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.
Mungu ni dhana ya kufikirika tu, Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana za kufikirika tu.
Imaginations just an illusion.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Mungu yupo, yaani ni sawa na kuliona gari lenye mpangilio sawia na linatembea ubishi kwamba hakuna aliye litengeneza
Unahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa sababu hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe, yeye kama yeye kwamba yupo.
You are just trying to defend a fictional character.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe, ajiongelee mwenyewe, ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea mwenyewe kama ana huo uwezo.