johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unayajua maeneo ya binadamu ambayo CHAWA hupendelea kujivinjali kunyonya hiyo damu lakini?!!Kuna jina na hadhi.
Hiyo ya chawa ni hadhi, majina yao yanajulikana kwa kila mmoja.
Chawa pamoja na kuwa ni wadudu wasumbufu, lakini wanafaidi vinono kwa kunyonya damu ya boss wao. Na kwa kuwa Boss mwenyewe karidhia kunyonywa basi, ni burudani kwa Chawa. Ndiyo maana hawaoni soni kujitambulisha hadharani.
Babu Tale: mh JPM mimi ni CHAWA wako mkuuCHAWA, chawa wa mama, Chawa meupe Chawa wa chuma Chawa wa lumumbashi, Chawa wa tanzania, Chawa wa Zamani, Chawatu, chawa2023, ChawawaMbowe, CHAWA wa Tate Mkuu; ufafanuzi tafadhali.
Hizi Za nywele kabisa.
Penye hela Massawe hakosekani ππChawa wa mama viongozi wakuu ni MOSHI na MASAWE.
Hata kama ni njaa ndugu yangu lakini sio kwa kujitweza kiasi hicho.Njaa kali haina staha.
Wewe mbona ni Chawa wa ccmNaona kwa sasa kila mtu " tegemezi" anajiita Chawa wa fulani
Kwa mfano nimetoka pale Chato nimewakuta Chawa wa Mbunge na ni cheo rasmi mtu anajitambulisha...
Chawa kazini !
Bavicha mnajiita " Makarai"Wewe mbona ni Chawa wa ccm